Mama salma kikwete biography of barack

  • Mama salma kikwete biography of barack
  • Salma Kikwete - Wikipedia...

    Mama salma kikwete biography of barack

  • Mama salma kikwete biography of barack
  • Salma kikwete
  • Salma Kikwete - Wikipedia
  • KWA HERI YA KUONANA BARACK NA MICHELLE OBAMA - MICHUZI BLOG
  • Salma Kikwete (born November 30, 1963), vice president ...
  • KWA HERI YA KUONANA BARACK NA MICHELLE OBAMA

     Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Barack Obama wakipokea saluti wakati nyimbo za Taifa zikipigwa wakati wa kuondoka kwa Rais huyo wa Marekani leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

    Nyuma yao ni Mama Salma Kikwete na Mama Michelle Obama pamoja na Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na IGP Saidi Mwema . Kushoto ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage na Mkuu wa Itifaki wa Ikulu ya Marekani (White House) Balozi Capricia Marshall.

    Ziara ya Rais Obama nchini imetajwa kuwa moja ya ziara za viongozi wa nje zilizofanikiwa sana, ambapo maelfu ya Watanzania walijitokeza kumlaki na kumuaga.

     Rais Barack Obama akiagana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam huku Mstahiki Meya wa Ilala pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.

    Liberata Mulamula wakisubiri zamu zao

     Rais Obama na mkewe wakikwea pipa lao la Air Force One

     Rais Obama na mke